Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Mwanakwereke D, Waliopasi Michipuo Wazawadia na Kupongezwa,

Mratibu wa Elimu Skuli ya Mwanakwerekwe D Unguja Hassan Haji Hassan akiwazawadia Wanafunzi wa Skuli hiyo ya Msingi Mwanakwerekwe D Unguja kwa kufauli Michupuo na Vipaji Maalum katika mikutano yao ya Taifa iliofanyika mwaka jana, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo Mwanakwerekwe Zanzibar.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.