Habari za Punde

Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Ali Aboud wakati akitembelea sehemu ya  mitambo  ya ZBC Redio katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akizungumza ndani ya Studio ya Spice FM Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa  katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo  akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari wa ZBC Radio ilioko Rahaleo    wakati akiwa  katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar. 
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akifahamisha jambo alipokuwa katika ziara yake katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin'gamuzi Rahaleo mjini  Zanzibar .
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akipata maelezp kutoka kwa Muhandisi Mkuu wa Zmux Noura Decosta wakati akitembelea  katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin'gamuzi Rahaleo mjini  Zanzibar 
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Vuai  wakati akitembelea Idara hio Rahaleo mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI./MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.