MKUFUNZI mwandamizi
wa masuala ya Habari kutoka Internews Tanzania Alalok Mayombo, akizungimzia
lengo la mafunzo hayo kwa waandishi wa habari na wajasiriamali Kisiwani Pemba,
mafunzo hayo yametolewa na Internews kupitia mradi wa boresha habari, huko
katika ukumbi wa mikutano Gombani
KAIMU mkurugenzi wa
kitengo cha Demokrasia na Utawala Bora kutoka shirika la Misaada la Marekani
(USAID)Jennifer Horsfall Tanzania, akifungua mafunzo ya ujasiriamali na
waandishi wa habari Kisiwani Pemba, mafunzo hayo yametolewa na Internews
kupitia mradi wa boresha habari, huko katika ukumbi wa mikutano Gombani
AFISA mikataba kutoka
USAID Tanzania Emilia Mkubulo, akihamasisha akinababa kuwapa ruhusa wake zao
kushiriki katika masuala ya ujasiriamali kwa lengo la kujienua kiuchumi, wakati
wa mafunzo hayo yametolewa na Internews kupitia mradi wa boresha habari, huko
katika ukumbi wa mikutano Gombani
WAANDISHI wa Habari Kisiwani Pemba, wakifuatilia ufunguzi wa
mafunzo ya ujasiriamali yaliyowashirikisha wajasiariamali mbali mbali Kisiwani
Pemba, yaliyotolewa na Internews kupitia mradi wa boresha habari, huko katika
ukumbi wa mikutano Gombani.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment