Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Zanzibar Wakiwa Katika Harakati za Kujipatia Hahitaji Yao Marikiti Kuu Darajani Zanzibar.

Wananchi Kisiwani Zanzibar wakiwa katika harakati za maandalizi ya bidhaa kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Iddi Fitry inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki ijayo baada ya kukamilika mwezi Mtukifu wa Ramadhan uneomalizika kumbi la mwisho wiki ijayo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.