Habari za Punde

Mahafali ya Wanafunzi wa Lugha ya Kiarabu Taasisi ya Samael Academy Pemba.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Samael Academy, Sheikh Nassor bin Said-Alruweikhy, akizungumza na Wazazi na Wanafunzi walihitimu mafunzo ya Lugha ya Kiarabu katika mahafali ya liofanyika katika Skuli ya Uweleni Pemba.

Wanafunzi wa lugha ya Kiarabu katika Skuli ya Uweleni Mkaoni Pemba, wakisoma Nashdi mbele ya mgeni Rasmi katika mahafali ya Lugha hiyo yaliofanyika katika Skuli ya Uweleni Pemba.(Picha na Habiba Zarali -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.