Habari za Punde

Tausi na Kombe Kivutio Cha Watalii Wanaotembelea Kisiwa Cha Changuu Zanzibar.Kuangalia Historia ya Kisiwa Hicho.

Muonekano wa Tausi katika Kisiwa cha Changuu Zanzibar akiwa katika pozi ya kuchanua Mkia wake ukiwa na Rangi za kupendeza na kuwavutia Watalii wanaofika katika Kisiwa hicho Maarufu Zanzibar. Kwa shughuli za Kitalii.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.