Habari za Punde

Balozi Seif Akiendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba Kutembelea Miradi ya Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba.

 MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi cheki ya malipo ya Fidia Ali Khamis Ali, baada ya kutoa eneo lake kutumika kwa ujenzi wa Karantini ya Mifugo katika eneo la Nziwengi Gando
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa amembeba mtoto mchanga baada ya kuzungumza na wanafunzi, walimu na wazazi juu ya kuhamasisha watoto wa kike kupenda kusoma, katika ziata yake ya kukagua ujenzi wa skuli ya Sekondari Mwambe
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akiangalia ramani ya skuli ya Sekondari Ndugu Kitu Wilaya ya Chake Chake wakati wa ziara yake ya siku tatu kisiwani Pemba
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif Ali, akipata maelezo juu ya ujenzi wa skuli ya Sekondari Ndugukitu kutoka kwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Abdalla Mzee Abdalla, wakati alipotembelea ujenzi wa skuli hiyo.
MWENEKANO wa Skuli ya Sekondari ndugukitu, Wilaya ya Chake Chake Mkao wa kusini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.