Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ashiriki Ufunguzi Rasmin wa Mkutano wa Kilele wa 38 wa SADC.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa meza kuu na viongozi wenzake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo Ijumaa Agosti 17, 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa meza kuu na viongozi wenzake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo Ijumaa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa meza kuu na viongozi wenzake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo Ijumaa
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa meza kuu na viongozi wenzake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga akiwa na ujumbe wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wenzake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo Ijumaa 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wenzake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kilele wa kawaida wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa hoteli ya Safari mjini Windhoek nchini Namibia leo Ijumaa Agosti 17, 2018

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.