Habari za Punde

TANZANIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA KUWAIT-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mazungumzo na Balazi wa Kuweit Mh Jasem Ibrahim AI Najem ,ambaye amemaliza  muda wake .Balozi Jasem. amekutana na Waziri Mkuu kwa lengo la kumuaga leo.Jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Kuweit Nchini Tanzania .Jasem Ibrahim AI Najem ,ambaye amemaliza  muda wake .Balozi Jasem. amekutana na Waziri Mkuu kwa lengo la kumuaga leo Julai 3/2018 Jijini Dar es salaam

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.