Habari za Punde

Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu

 Ujumbe kutoka Nchi za Falme za  Kiarabu (UAE)Wawasili zanzibar kwa ziara ya siku tatu kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo.

 Mshauri wa Rais  Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdi wapili kushoto akisalimiana na Wajumbe wa Msafara kutoka Nchi za Falme za Kiarabu(UAE)mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar kwa ziara ya siku Tatu  kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo.
 Mshauri wa Rais  Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdi akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuupokea Ujumbe  kutoka Nchi za Falme za  Kiarabu (UAE) katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar uliofika Zanzibar kwa ziara ya siku Tatu  kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo. 
Kiongozi wa Msafara ambae ni Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Falme za kiarabu (UAE) Najla Alkaabi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.