Habari za Punde

Wenye ulemavu wapatriwa mafunzo ya utetezi wa haki za binadamu

Watu wenye ulemavu wakiwa katika mafunzo ya utetezi wa haki za binadamu kwa watu wenye ulemavu yaliyoandaliwa na jumuiya ya kudhibiti maambukizo ya vvu Mkoani "JUKUVUM"chini ya mradi wa kusaidia watu wenye ulemavu kushiriki katika shughuli za kisiasa, kiuchumi na kijamii ,kwa ufadhili wa nchi za ulaya EU.

Picha na HABIBA ZARALI PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.