Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.Nchini Indonesia Azungumza na Uongozi wa Exim Bank ya Indonesia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) na Ujumbe wakiwa katika mazungumzo na Uongozi wa Benki ya Kibiashara ya Exim Bank ya Nchini Indonesia  (kulia pichani)  katika ukumbi wa Hoteli ya Borobudur iliyopo katika Mjini  Jakarta jana, wakiwa katika ziara ya Kikazi nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiuliza Suala akiwa na Ujumbe wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Benki ya Kibiashara ya Exim Bank ya Nchini Indonesia  (hawapo pichani) yaliyofanyika  katika ukumbi wa Hoteli ya Borobudur iliyopo katika Mjini  Jakarta jana, katika ziara ya Kikazi nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla,wengine (kushoto) Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina Salum Ali,Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais na Mwenyejkiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Isaa Haji Ussi Gavu (kulia) na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau
Mkurugenzi Mtendaji wa Eximbank ya Indonesia Nd,Dwi Wahyudi (katikatri) alipokuwa akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa kikao cha pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wake (hawapo pichani) jana katika Hoteli ya Borobudur iliyopo katika Mji wa Jakarta katika ziara ya Kikazi nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla,wengine (kulia)   Mkuu wa masuala ya Fedha Nd,Ridha Farid Lesmana,na Mkuu wa  masuala ya Uchambuzi katika sehemu za fedha Tito Andrean Elvano (kushoto).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Eximbank ya Indonesia Nd,Dwi Wahyudi (kulia) baada ya kumalizika mazungumzo ya pamoja yanayohusu kuimarishwa kwa uchumi katika Ukumbi wa Hoteli ya Borobudur iliyopo katika Mji wa Jakarta akiwa katika ziara ya Kikazi nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla,wengine (kushoto) Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina Salum Ali na Kaimu Mkurugenzi Mambo ya Nje Ofisi ya Zanzibar Balozi Mohamed Haji Hamza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa katika picha ya pamoja na  Uongozi wa Benki ya Kibiashara ya Exim Bank ya Nchini Indonesia  baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Borobudur iliyopo katika Mjini  Jakarta jana, katika ziara ya Kikazi nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla,[Picha  na Ikulu.] 03/08/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.