Habari za Punde

Afisa mdhamini akagua miradi ya kikundi cha vijana Zindukeni, Uwandani wilaya ya Chake

 BAADHI ya Mbuzi wanaofuga na vijana wa Kikundi cha Zindukeni Uwandani  Wilaya ya Chake Chake, tayari baadhi ya mbuzi hao wameshaanza kuwa na maradhi ya minyoo, jambo ambalo wanahitaji kuungwa mkono na wadau mbali mbali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akiangalia mbuzi wa Kikundi cha Vijana Zindukeni Uwandani Wilaya ya Chake Chake, wakati wa ziara yake ya kutembelea shuhuli mbali mbali zinazofanywa na vijana.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Fatma Hamad Rajab, akikagua shamba la michaichai la vijana wa kikundi cha Zindukeni cha Uwandani Vitongoji Wilaya ya Chake Chake, shamba hilo lenye ukubwa wa ekari 1.5.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


BAADHI ya Michaichai ya kikundi cha Vijana wa Zindukeni Uwandani Wilaya ya Chake Chake, lenye ukubwa wa ekari 1.5huko Uwandani Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.