Habari za Punde






 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Wafanyabiashara wa nchini China,mara baada ya kuzungumza nao leo jijini Beijing  ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC),unaotarajiwa kutafunguliwa na Rais wa China Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3,2018 ambapo utafanyika kwa siku mbili.Mkutano huo kwa Tanzania Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Joh Pombe Magufuli.

Balozi wa Tanzani chini China,Mh Mbelwa Kairuki akimtambulisha mmoja wa wafanyabiashara wa china kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Godfrey Mwambe mara baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzungumza nao leo jijini Beijing  ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC),unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa China Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3,2018 ambapo utafanyika kwa siku mbili.Mkutano huo kwa Tanzania Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Joh Pombe Magufuli

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.