Habari za Punde

Kheri ya Mwaka Mpya wa Kiislam 1440.

Mtandao wa Kijamii Zanzinews.com Unawatakiwa kila la Kheri Waumini Wote wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa jumla katika kusherehekea Mwaka Mpya wa Kiislam. Inawatakia kila ya Kheri  na mafanikio katika mihangaiko ya kujitafutia riziki.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.