Habari za Punde

Maandalizi ya Ujenzi wa Jumba la Beit Aljaib Unaaza Ujenzi Wake Zanzibar.

Taratibu za Ujenzi na Ukarabati Mkubwa wa jengo la Beit AlJaib Zanzibar ukianza ukarabati wake kwa hatua za mwazo kwa ufungaji wa majukwaa kuzuiya nguzo za jengo hilo na kuzingira nyavu maalum ili kuzuiya kwa wajenzi na wapita njia kupata madhara wakati wa ujenzi huo kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.