Kiongozi wa Afya TanzaniaDr. Michael Mpeke akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na Mkutano wa Mafunzo ya Upasuaji wa Uti wa Mgogo na Vichwa Maji katika Hospitaliu ya Mnazi Mmoja kupitia Kituo cha Neuro Hospital ya Mnazi mmoja Zanzibar.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohamed akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusu Mkutano wa Mafunzo ya Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Vichwa maji katika kituo cha Neuro Hospitali ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment