Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Chini Baada ya Kumaliza Ziara Yake katika Tamasha la Biashala la 15 Nchini China.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini China alikokua akihudhuria Tamasha la 15 la Biashara Nchini huo. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akingozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akielekea katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari mafanikio ya ziara yake Nchini China.katika Tamasha la 15 la Biashara.   
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.