Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
akizungumza na Balozi wa Korea nchini
Song, Geum-young wakati balozi huyo alipotembelea Makao makuu ya Polisi Dar es
Salaam ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya kuimarisha Uhusiano

Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi jarida la Polisi Balozi
wa Korea nchini Song, Geum-young baada ya kufanya mazungumzo ya kuimarisha
uhusiano Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment