Habari za Punde

Mchezo wa Fainali Kombe la Ndondo Cup Uwanja wa Amaan Kati ya Juve na Six Centers. Timu ya Juve Imeshinda Mchezo .

Mashabiki wa Mchezo wa Mpira Zanzibar wakifatilia Mchezo wa Fainali ya Michuano ya Ndondo Cup na Mimi na Wewe mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar uliozikutanisha Timu za Six Centers na Juve, Timu ya Juve imefanikiwa kulitowa Kombe hilo kwa ushindi wa bao 1-0.
Mgeni rasmin katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Ndondo Cup na Mimi na Wewe Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiwa na Viongozi wengine wakifuatilia mchezo wa Fainali kati ya Six Centers na Juve. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.