Habari za Punde

Mchezo wa Ufunguzi Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Mlandege na Jangombe Boys Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege Imeshinda Bao 1-0.

Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Jangombe Boys kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao moja bila.
Timu ya Mlandege ikiwa ni mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya kupanda Daraja mwaka huu.
Kikosi cha Timu ya Jangombe Boys kilichokuba kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa msimu wa mwaka 2018/2019. uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Kikosi cha Timu ya Mlandege kilichoilaza Timu ya Jangmbe Boys katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. ikiwa ni mchezo wao wa kwanza baada ya kupanda Daraja mwaka huu.2017/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.