Habari za Punde

Mfanyabisha Maarufu Zanzibar Atekeleza Ahidi Yake ya Kuwazawadia Cumputer Wanafunzi Watakaofanya Vizuri Mitihani Yao.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi Komputa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Mwalimu Khamis Adam, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Mfanya biashara Bora kwa kugawa vifaa kwa skuli zilizotoa wanafunzi wa daraja la kwanza kidato cha sita mwaka 2018, hafala iliyofanyika katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.