Habari za Punde

Misumeno ya Moto (Chain Saw) Yatekekezwa Kwa Moto Kisiwani Pemba Baada ya Kukamatwa Ikitumika Katika Kuangamiza Misitu.

Misumeno ya moto (Chain Saw) iliokamatwa katika maeneo mbalimbali Kisiwani Pemba wakati ikitumika katika kuangamiza misitu kisiwani humo,misumeno hiyo imekamatwa wakati wa zoezi lililofanya katika maeneo hayo na Maafisa Misutu Kisiwani Pemba.uangamizaji huo umefanyika katika Ofisi ya Kilimo Maliasili na Uvuvi,Ofisi ya Kilimo WetePemba.

 Waziri wa Kilimo na Maliasili na Uvuvi Zanzibar,Mhe.Rashid Ali Juma, akizungumza wakati wa zoezi la kuangamiza misume ya moto ( Chain Saw) lililofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Kilimo Wete Pemba. 

Waziri wa Kilimo Maliasili na Uvuvi  wa Serikkali ya Mapinduzi Zanziba,Mhe. Rashid Ali Juma, akitia mafuta kwenye misumeno ya Moto (Chain Saw) kwa ajili ya uteketezaji baada ya kukamatwa katika maeneo mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba,zoezi ambalo lilifanyika katika ofisi ya Kilimo Wete Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.