Habari za Punde

Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, wakati akiwasili Wilayani Mpwapwa, akiwa anamalizia ziara yake mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, wakati akiwasili Wilayani Mpwapwa, akiwa anamalizia ziara yake mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri, Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, Mkurugenzi wa Katibu Tawala Mkoa Dodoma Maduka Kessy.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mauji
Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Godwin Mkanwa, kwenye ziara ya Waziri Mkuu mkoani Dodoma
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge, akizungumza na wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, kwenye ziara ya Waziri Mkuu mkoani Dodoma. 
Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa mkoani Dodoma
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na  Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara ya mkoa Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.