Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar Katika Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akifungua Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar ilioshirikisha Makampuni ya Kitalii ya Nje na Ndani ya Zanzibar na Taasisi za Serikali zinazijihusisha na Utalii Tanzania.kushoto Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kulia Katibu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar. 
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar 2018, yanayofanyika katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe. Dr. Abdallah Juma Mabodi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Mfanyabiashara Maarufu Tanzania Ndg. Said Salim Bakhress.
Wafanyabiashara ya Sekta ya Utalii Zanzibar na kutoka Nje ya Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo yanayofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Maalum cha Kuchangia Utalii Zanzibar Ndg. Abdurahaman Said Mbarak, wakati wa hafla hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Maalum cha Kuchangia Utalii wa Zanzibar Mfanyabiashara wa Makampuni ya VIGOR Ndg. Salim Tofiq Turky
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Maalum kwa Mchango wake katika Sekta ya Utalii Zanzibar Mfanyabiashara Ndg. Said Salim Bakhressa, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Maalum Mfanyabiashara Maarufu wa Zanzibar kwa Jitihada zake katika kutowa huduma za Kitalii kupitia Kampuni ya ZAT Mhe. Mohammed Raza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Maalum cha Kuutangaza Utalii wa Zanzibar Nje Ndg Walid Fikirini, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar katika viwanja vya Hotel Verde Mtoni ZanzibarNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.