Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluh Hassan Azungumza na Ujumbe Kutoka Girl Guides Association

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe kutoka Tanzania Girl Guides Association ambapo pamoja na mambo mengine alitambulishwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Bi. Anna Maembe na Wajumbe wengine wa Bodi hiyo kwenye ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.