Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.

Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Mussa Aboud Jumbe, akionyesha mtambo wa barafu ambao tayari umeshaingizwa ndani ya soko la samaki na mboga mboga Tumbe Wilaya ya Micheweni
NAIBU Waziri wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Lulu Mshamu, akizungumza na Viongozi wa baraza la Vijana Taifa Pemba, juu ya suala zima la kuibua miradi ya maendeleo mkutano uliofanyika mjini chake chake
AFISA Mdhamini Ofisi ya Raisi Tawala la Mikoa, Serikali za Mitaa na  Idara Maalumu za SMZ, Juma Nyasa Juma alifunga mafunzo ya mafunzo ya uandaaji wa mipango shirikishi na uibuaji wa miradi ya maendeleo ya jamii kwa mamlaka za serikali za mitaa kwa madiwani wa Kisiwa cha Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.