Habari za Punde

Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola  akizungumza na Wananchi wanaohudumiwa katika Idara ya Uhamiaji Kilimani  Zanzibari wakati alipofanya ziara katika Idara hiyo.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola  akipata maelekezo kutoka kwa mtendaji wa Mmlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola  akikaguwa Gwaride maalumu la Jeshi la Polisi alipowasili Makao Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola  akizungumza na watendaji wa Jeshi la Polisi, Uhamiaji na NIDA katika Ukumbi wa Jeshila Polisi Zanzibar.
Picha Na. Miza Othman - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.