Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Omar Fadhil Nondo akizungumza wakati wa ziara ya Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,anaeshughulikia masuala ya Operesheni na ulinzi wa Amani,Mr.Jean Pierre Lacroix, alipofika Zanzibar kuwafariji Wanafamilia waliofiwa na Ndgugu zao wakiwa katika Jeshi la kulinda Amani Nchini Congo mwaka jana.
Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Fadhil Omar Nondo, akizungumza wakati wa ziara ya Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Oporewsheni na Ulinzi na Amani Mr.Jean Pierre Lacroix, kulia alipifika Zanzibar kuzifariji Familia za Askari wa Tanzania waliofariki Nchini Congo wakilinda amani.hafla hiyo imefanyika Makao Makuu ya Nyuki Brigedi Migombani Zanzibar.
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), anaeshughulikia masuala ya Operesheni,Ulinzi na Amani.Mr. Jean Pierre Lacroix akizungumza na Wanafamilia wa Askari wa JWTZ, alipofika Zanzibar kuwafariji kwa kupoteza ndugu zao katika Jeshi la Kulinda Amani Nchini Congo mwaka jana.MSAIDIZI wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), anaeshughulikia masuala ya Operesheni na ulinzi wa Amani, Jean Pierre Lacroix (mwenye suti) akisalimiana na baadhi ya wanafamilia ya maaskari waliouwa na waasi Nchini Congo mwaka jana, wakati alipofika Zanzibar na ujumbe wake kuzifariji familia za maaskari hao. Kushoto Brigedia wa Brigedi ya Nyuki, Fadhil Omar Nondo
MSAIDIZI wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), anaeshughulikia masuala ya Operesheni na ulinzi wa Amani, Jean Pierre Lacroix (mwenye suti) akisalimiana na baadhi ya wanafamilia ya maaskari waliouwa na waasi Nchini Congo mwaka jana, wakati alipofika Zanzibar na ujumbe wake kuzifariji familia za maaskari hao. Kushoto Brigedia wa Brigedi ya Nyuki, Fadhil Omar Nondo.
MSAIDIZI wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), anaeshughulikia masuala ya Operesheni na ulinzi wa Amani, Jean Pierre Lacroix (mwenye suti) akisalimiana na baadhi ya wanafamilia ya maaskari waliouwa na waasi Nchini Congo mwaka jana, wakati alipofika Zanzibar na ujumbe wake kuzifariji familia za maaskari hao. Kushoto Brigedia wa Brigedi ya Nyuki, Fadhil Omar Nondo
Brigedia wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar Nondo akiagana na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa, anaeshughulikia masuala ya operesheni na ulinzi wa
amani, Jean Pierre Lacroix baada ya
kumaliza ziara yake na ujumbe wake wa kuzifariji familia za wanajeshi waliuawa
na waasi Nchini Congo mwaka jana
Picha na Haroub Hussein.
Picha na Haroub Hussein.
No comments:
Post a Comment