Ndege
mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na Serikali ikitua kwa mara ya
kwanza katika ardhi ya Tanzania Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA)
Ndege
mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali ikimwagiwa maji
ikiwa ni ishara ya karibu na heshima (Water salute) kwa mara ya kwanza katika
ardhi ya Tanzania Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
Viongozi
na Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) wakiwapongeza na
kuwakaribisha wenazao amabao walitoka safarai na Ndege mpya aina ya Airbus 220
- 300 ambayo imenunuliwa na Serikali mara ya kuwasili katika ardhi ya Tanzania
Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Balozi
wa Canada Pamela
O’donnel
pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus
220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpongeza
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Ladislaus Matindi mara
baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na
Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) Desemba 23,2018
Katibu
mkuu kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi pamoja na katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi
mawasiliano na Uchukuzi Dkt.Leonard Chamuriho wakisaini mkataba wa makabidhiano
ya Ndege mpya ya Airbus 220-300 itakayokabidhiwa katika shirika la ndege la
Tanzania mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli,Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakishuhudia
kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na
Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha
Rubani mstaafu Kapteni Mapunda kutokana na uzalendo wake kwa Taifa kabla ya
kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo imenunuliwa na
Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli,Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi
wengine wakitazama anaganin wakati Ndege mpya aina ya Airbus 220 - 300 ambayo
imenunuliwa na Serikali ilipowasili katika anga la Uwanja ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA)
No comments:
Post a Comment