Habari za Punde

Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla kulia akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika  ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika  ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.

 Mkuu wa Msafara Katibu Mkuu Wizara ya Afya ya Sierra Leone David Banya akizungumza kuhusiana na safari yao ya kuja Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika  ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
-Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi Wizara ya Afya Ramadhan Khamis Juma akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika nnje ya   ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.