Habari za Punde

Uzinduzi wa Barabara ya Kiwango cha lami Kutoka Kijitoupele Hadi Fuoni Mambosasa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Nchini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, alipowasili katika viwanja vya Kijitoupele kwa ajili ya Uzinduzi wa Barabara hiyo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf, Mbunge wa Jimbo la Pangawe Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, alipowasili katika barabara ya Kijitoupele kwa ajili ya kuizindua barabara hiyo iliojengwa kwa kiwango cha lami.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, iliojengwa kwa kiwango cha lami, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisima Jiwe la Msingi la Barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, baada ya kuondo kipazia wakati wa uzinduzi huo, Ikiwa ni shamrashamra za kuadhumisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambasasa, iliojengwa kwa kiwango cha lami, kulia Waziri wa Nchini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea barabara hiyo mpya ya kiwango cha lami kuazia Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, baada ya muda mfupi kuifungua leo asubuhi ikiwa ni shamrashamra za sherehe za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.