MCHEZAJI wa timu Wete Kushoto na Mchezaji wa Timu ya Chake Chake kulia wa mpira wa wavu, wakiruka juu kunyanganyiana mpira wakati wa mchezo maalumu wa mpira wa wavu, kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Matukufu ya Zanzibar, wete kuibuka na ushindi wa seti 3-2 dhidi ya Chake Chake
KIKUNDI cha ngoma ya Kituwa kutoka unguja kikitoa burudani ya ngoma ya utamaduni, wakati wa mchezo wa mpira wa wavu katika uwanja wa Tenisi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment