Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani aongoza usafi katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Issa Juma Ali, akizungumza na baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani humo kabla ya kufanya usafi katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, ikiwa ni miongoni mwa shamra
shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Baadhi ya Vijana wa Wilaya ya Mkoani Pemba, wakimskiliza Mkuu wa Wilaya ya Mkoani wakati akizungumza nao mara baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani -Pemba,
 Mganga mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, Mwita Haji Mwita, akitowa shukrani zake kwa Uongozi na Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani humo, baada ya kufanya usafi katika Hospitali hiyo ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Miza Hassan, akitowa maelezo juu ya siku ya usafi mazingiraikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.

 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Issa Juma Ali, akijumuika na Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani humo, ikiwa ni siku ya usafi kitaifa ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.