Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama
Amne Salim (Mke wa Dkt.Salim) ya kumuombea Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed
Salim, walipomtembelea ili kumjulia hali
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam,
alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment