Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu wakiimba wimbo wa "Sisi Yote Tumegomboka" wakatika wa hafla ya Uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja. ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
JUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
-
Na Mwandishi Wetu
JUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025
wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo l...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment