Habari za Punde

Wateja wa Zantel Waendelea Kujishindia Zawadi Kupitia Promosheni ya TUMIA EZYPESA USHINDE

Meneja wa Zantel Huduma kwa wateja Zanzibar, Mwajuma Hussein (kushoto) akikabidhi zawadi ya T-shirt na simu kwa mshindi Aida Rajab.
Meneja Utawala wa Zantel Zanzibar, Haroub Humud (kulia) akikabidhi zawadi kwa Mohamed Mbarouk jana kwenye sherehe iliyofanyika kwenye ofisi ya Zantel Amaan.
Sharifa Abeid Said (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa ofisa wa Zantel Shadida Salmin Amour 

 Meneja Utawala wa Zantel Zanzibar, Haroub Humud (kulia) akikabidhi zawadi kwa Mohamed Mbarouk jana kwenye sherehe iliyofanyika kwenye ofisi ya Zantel Amaan.

Mkuu wa ZANTEL Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha (kushoto) akikabidhi simu kwa mmoja wa washindi , Amour Abdalla,kwenye duka la Zantel la Vuga mjini Zanzibar.
Meneja wa huduma EzyPesa Zanzibar Nairat Zahor (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu kwa  mmoja wa washindi , Halima Mohamed

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.