Habari za Punde

MwanaCCM Wete atoa kiwanja chake kwa ajili ya ujenzi wa Tawi la Chama

 KATIBU wa CCM Wilaya ya Wete Salim Khamis Haji (kushoto), akipokea hati ya kiwanja kutoka kwa Mwana CCM Mzee Nassor Said Nassor wa Kivumoni Mtambwe, kwa ajili ya ujenzi wa tawi la CCM Mtambwe.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,PEMBA)

 MZEE Nassor Said Nassor wa Kivumoni Mtambwe, akiongozana na viongozi wa CCM kwa kuwaonesha mipaka ya kiwanja ambacho amekitoa kwa ajili ya ujenzi wa tawi la Chama hicho huko Kivumoni Mtambwe Wilaya ya Wete.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,  PEMBA)MZEE Nassor Said Nassor wa Kivumoni Mtambwe, akiongozana na viongozi wa CCM kwa kuwaonesha mipaka ya kiwanja ambacho amekitoa kwa ajili ya ujenzi wa tawi la Chama hicho huko Kivumoni Mtambwe Wilaya ya Wete.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,  PEMBA)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.