Habari za Punde

Promosheni ya “Tumia EZYPESA Ushinde”ya Zantel yazidi kunufaisha wateja

Meneja Bidhaa Kitengo cha EZYPESA cha Zantel, Leonard Kameta (katikati) akiongea kwa simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya “Tumia EZYPESA Ushinde” wakati wa droo ya nane iliyofanyika jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emanuel Ndaki (kushoto) na Meneja wa Chapa ya Zantel, David Maisori (kulia). Promosheni hii imewezesha wateja wa Zantel kujishindia simu za Smartphone na fedha taslimu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.