Habari za Punde

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Wakishiriki Katika Mei Mosi Zanzibar.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited wakifuatilia kwa makini hutuba ya Meo Mosi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Taifa Tunguu Zanzibar SUZA wa Dk. Ali Mohamed Shein.
Kitaifa mwaka huu zimefanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kati.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.