Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Zanzibaer Wakiwa Katika Harakazi Marikiti Kuu ya Darajani

Wanchi wakiwa katika harakati za hapa na pale katika marikiti kuu ya darajani wakijipatia mahitaji yao ya utowezi ili kukamilisha futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani tukiwa katika kumi la tatu la mfungo tukielekea katika maandalizi ya kuadhimisha Sikukuu ya Eid Fitry, wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.