Habari za Punde

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiteta na Naibu wa Waziri wake, Subira Mgalu, Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akielekea kwenye eneo maalum la kusoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Elimu ,Sayansi, Tekinolojina na  Ufundi, Profesa, Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akisalimiana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2019. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.