Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI NAMIBIA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS WA NAMIBIA MHE. HAGE GEINGOB KATIKA IKULU YA NCHINI NAMIBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mhe.Hage Geingob wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikipigwa katika viwanja vya Ikulu ya Namibia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia kulia kwake ni Rais wa Namibia Mhe.Hage Geingob akishuhudia. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mhe.Hage Geingob mara baada ya kuwasili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo yake na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mhe.Hage Geingob mara baada ya kuwasili. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mhe.Hage Geingob ambaye alikuwa akiongoza ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu hiyo ya Namibia.
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.