Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia na kumfariji Mtoto wa Marehemu Ramadhan Abdalla Shaban, alipowasali katika Kijiji cha Uzini leo jioni kutowa Mkono wa Pole kwa Familia hiyo.baada ya kufiliwa na Mzazi wao wiki hii
SOUWASA YANG’ARA KITAIFA YASHIKA NAFASI YA PILI KWA UTOAJI HUDUMA ZA MAJI.
-
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) imeendelea
kudhihirisha ubora wake katika utoaji wa huduma baada ya kushika nafasi ya
pili...
2 hours ago
0 Comments