Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Akitokea Kisiwani Pemba leo.a

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja Ndege wa Kimataifa akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziuara yake Maalum ya kufutarisha Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba. kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.