Habari za Punde

Tanzania na Namibia Zatiliana Saini Tamko la Pamoja la Mashirikiano Katika Masuala Mbalimbali

Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia wakitia saini tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano  wa Namibia wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia Mjini Windhoek,Namibia
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  (Mb) pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano (Mb) wa Namibia wakionesha kwa waandishi wa habari nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia saini  Mjini Windhoek,Namibia
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki   pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah  Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano  waNamibia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutia saini na kubadilishana nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia saini  Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019. Kushoto ni kaimu balozi wa Tanzania Nchini Afrika ya Kusini anayesimamia pia Namibia Bw. Richard Lupembe na kulia ni Balozi wa Namibia nchini Tanzania Theresia Samaria.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.