Habari za Punde

Wafanyakazi Zanzibar Waadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Mkoa wa Kusini Unguja Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wameshikana mikono wakiimba wimbo wa Solidariti Foreva, kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib na kulia Mwenyekiti wa ZATUC Ndg. Ali Mwalim, Mwakilishi wa ILO Bi. Getrude Sima na Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi, wakishiki katika kuimba na kuungana na Wafanyakazi katika hafla hiyo iliofanyika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja.  
Baadhi ya Mawaziri na Wananchi wakijumuika katika kuimba wimbo wa mshikamano wa Solidariki Foreva wa katika wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Hafla hiyo Kitaifa imefanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar. 
Baadhi ya Mawaziri na Wananchi wakijumuika katika kuimba wimbo wa mshikamano wa Solidariki Foreva wa katika wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Hafla hiyo Kitaifa imefanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar. 
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari wakijumuika katika kuimba wimbo wa mshikamano wa Solidariki Foreva wa katika wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Hafla hiyo Kitaifa imefanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar. 
Mwakilishi wa Shirika la Kazi Duniani Bi. Getrude Sima akitowa Salamo za ILO wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yalioadhimishwa Kitaifa katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Ndg, Khamis Mwinyi akitowa Salamu za Wafanyakazi wa Zanzibar wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yalioadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA. 
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico akihutubia wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja leo.
Mwenyekiti wa Shirikisho wa Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC)Ndg. Ali Mwalimu akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na kuwahutubia Wafanyakazi wa Zanzibar katika hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wafanyakazi na Wananchi wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilioadhimishwa Kitaifa Mkoa wa Kusini Unguja, iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.