Habari za Punde

Yaliojiri Viwanja Vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Yussuf Makamba akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kuhudhuria Mkutano wa Kikao cha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka 2019/2020, wakati wa kuwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Mohammed Ramia Abduwawa mwisho mwa wiki hii. 
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Reli wakiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar cha Bajeti ya mwaka wa Fedha 2019/2020.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, akiwahi kuhudhuria Mkutano wa Kikao cha Bajeti kwa mwaka wa Fedha wa 2019 /2020 , wakati wa kuwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozo Mohammed Ramia Abduwawa akiwasili katika viwanja vya  Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, kuwasilisha Hutuba ya Bajeji ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2019/2020, kwa wajumbe wa Baraza kla Wawakilishi.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.