Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi, Bungeni jijini Dodoma
Waziri MkuuMhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Kassim Ahmed, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akijadili jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati), Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Mhandisi Edwin Ngonyani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.