Habari za Punde

Mazishi ya Dr. Badriya Abubakar Gurnah, Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dr. Badriya Abubakar Gurnal Mke wa Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} Nyumbani kwao Mikoncheni Jijini Dar es salaam.
  Dr. Magufuli akiifariji familia ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdallah Saadala kufuatia kifo cha Mkewe Dr. Badriya Abubakar.
 Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} Kushoto akimshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alipofika kumfajiri kufuatia kifo cha Mkewe.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliifariji na kuipa pole Familia ya Dr. Badriya Abubakar Gurnal Mke wa Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} Nyumbani kwao Mikoncheni Jijini Dar es salaam.
 Balozi Seif akiifariji familia ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdallah Saadala kufuatia kifo cha Mkewe Dr. Badriya Abubakar Nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar es salaam
Balozi Seif Ali Iddi akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dr. Badriya Abubakar Gurnal Mke wa Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} Nyumbani kwao Mikoncheni Jijini Dar es salaam.

 Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa akimfariji Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} kwenye Mazishi ya Mke wake Dr. Badriya
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Kushoto akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa Msibani kwa Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanziba Dr. Mabodi huku Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashir Ali Kati kati akishuhudia.
 Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha Maombolezo kufutia kifho cha  Dr. Badriya Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi.
 Balozi Seif Kushoto wakibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Taiofa Dr. Bashir Ali msibani kwa Dr. Badriya Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi.
 Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwemo Viongozi wa Kitaifa wakimsalia Dr. Badriya Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi katika Msikiti wa Ijumaa wa Maamur Jijini Dar es salaam
 Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akitia udongo katika Kaburi la Dr. Badriya Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam.
 Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashir Ali na Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mzee Pandu Ameir Kificho
Mshauri wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar {Siasa} ambaye pia Naibu Katibu Mkuu nstaafu wa CCM Zanzibar Nd. Vuai Ali Vuai akitoa salamu za pole kwenye mazishi ya Dr. Badriya Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam.
Picha na – OPMR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.